WAZIRI GWAJIMA AZINDUA MRADI WA KIZAZI HODARI KULINDA AFYA YA WATOTO NA VIJANA BALEHE

Na Mwandishi Wetu Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Mradi wa kuimarisha Afya, Ustawi na ulinzi kwa watoto na vijana wanaoishi katika mazingira hatarishi  uitwao USAID Kizazi hodari katika hafla fupi iliyofanyika Jijini Dodoma Januari 17, 2023. Akizungumza na washiriki wa hafla hiyo Waziri Dkt.